en stringlengths 4 1.39k | sw stringlengths 4 1.37k |
|---|---|
As of 2010 more than 6.6 million people were receiving this in low- and middle-income countries. | Kufikia mwaka 2010, zaidi ya watu milioni 6.6 wa nchi za mapato ya chini na ya kati walikuwa wakitumia dawa hizo. |
A vigorous immune response eventually controls the infection and initiates the clinically latent phase. | Mwitikio mkubwa wa kingamwili hatimaye huyadhibiti maambukizi hayo kisha kuanzisha awamu fiche ya kiutambuzi. |
Contradicting the report from Gallo's group, Montagnier and his colleagues showed that core proteins of this virus were immunologically different from those of HTLV-I. Montagnier's group named their isolated virus lymphadenopathy-associated virus (LAV). | Huku wakikanusha ripoti ya kikundi cha Gallo, Montagnier na wenzake walionyesha kuwa viini vya protini vya virusi hivyo vilikuwa tofauti na HTLV-I kiukingamwili. |
Extrapulmonary TB occurs more commonly in people with a weakened immune system and young children. | Extrapulmonary TB hutokea zaidi kwa wagonjwa wenye upungufu wa kingamwili na watoto wadogo. |
For surveillance purposes, the AIDS diagnosis still stands even if, after treatment, the CD4+ T cell count rises to above 200 per µL of blood or other AIDS-defining illnesses are cured. | Kwa sababu za kiuchunguzi, utambuzi wa UKIMWI hubakia iwapo baada ya matibabu kiwango cha seli za CD4+ T kitapanda zaidi ya 200 kwa kila µL ya damu au iwapo maradhi mengine yanayoashiria UKIMWI yataponywa. |
In many areas of the world, people are unable to afford treatment with antivirals as they either lack insurance coverage or the insurance they have will not pay for antivirals. | Katika maeneo mengi ya dunia watu wanashindwa kumudu matibabu na madawa ya kupunguza makali ya virusi kwa sababu ya kukosa bima au bima waliyo nayo haitalipa madawa ya kupunguza makali ya virusi. |
Both of these changes result in increased blood pressure in the pulmonary arteries, which may cause right-sided heart failure secondary to lung disease, also known as cor pulmonale. | Mabadiliko haya yote husababisha ongezeko kwenye shinikizo la damu katika arteri za mapafu, hali inayoweza kusababisha ugonjwa wa kuvimba na kutofanya kazi kwa ventrikali ya kulia ya moyo. |
Of 77 countries reviewed, 25 (including the United States) were found to have prevalences of hepatitis C in the intravenous drug user population of between 60% and 80%. | Uchunguzi uliofanya katika nchi 77 zimeonyesha kwamba katika nchi 25 ambayo Marekani ni mojawapo, asilimia ya watu wanaopata Homa ya nyongo C kwa kutumia madawa ya kulevya kwa kujidunga sindano ni asilimia 60 hadi 80 na Uchina. |
Until recently, it was reported that Nightingale reduced mortality from 40% to 2% on the battlefield. | Nightingale aliweza kupunguza viwango vya kifo kutoka 40% hadi 2% kwa kujenga dhana ya utunzaji mkubwa. |
The topic of religion and AIDS has become highly controversial, primarily because some religious authorities have publicly declared their opposition to the use of condoms. | Mada kuhusu dini na UKIMWI imekuwa ikikumbwa na utata mwingi katika miaka thelathini iliyopita, hasa kwa sababu baadhi ya viongozi wa dini wametangaza hadharani kwamba wanapinga utumiaji kondomu. |
"Life magazine said the photo became the one image ""most powerfully identified with the HIV/AIDS epidemic.""" | LIFE magazine ilisema kuwa picha hiyo ilikuja kufahamika kama picha maarufu zaidi kuwahi kuhusishwa na janga la UKIMWI/VVU. |
Courtesy AIDS stigma—stigmatization of people connected to the issue of HIV/AIDS or HIV-positive people. | Unyanyapaa wa kihisani wa UKIMWI- Unyanyapaa dhidi ya watu wanaohusishwa na suala la VVU/UKIMWI au watu walio na VVU. |
Another feature of the granulomas is the development of abnormal cell death (necrosis) in the center of tubercles. | Kipengele kingine cha granulomas ni maendeleo ya kifo isiyo ya kawaida katikati (necrosis) katika kituo cha tubercles. |
Evidence supporting the use of steroids in COPD was published in the late 1950s. | Ushahidi wa kuunga mkono utumizi wa steroidi katika ugonjwa sugu wa kufungana kwa njia za hewa ulichapishwa mwishoni mwa miaka ya 1950. |
Tattooing is associated with two to threefold increased risk of hepatitis C. This can be due to either improperly sterilized equipment or contamination of the dyes being used. | Uchoraji wa mwili unaongeza hatari mara mbili au tatu zaidi ya kupata Homa ya nyongo C. Hii inaweza kuwa kwa sababu vifaa vinavyotumiwa sio visafi au kuambukizwa na rangi iliyotumika. |
Intravenous drug use is an important risk factor, and harm reduction strategies such as needle-exchange programs and opioid substitution therapy appear effective in decreasing this risk. | Matumizi ya dawa zinazodungwa mishipani ni kipengele muhimu cha hatari, hivyo mikakati ya kupunguza madhara kama vile miradi ya kubadilisha sindano na matibabu ya kubadilisha opioidi yanaonekana kufaulu kupunguza hatari. |
A number of developed countries have successfully improved outdoor air quality through regulations. | Baadhi ya nchi zilizostawi zimefanikiwa katika kudumisha ubora wa nje kupitia kanuni. |
A study in Côte d'Ivoire showed that households having a person with HIV/AIDS spent twice as much on medical expenses as other households. | Utafiti katika nchi ya Côte d'Ivoire ulionyesha kuwa familia zilizo na mgonjwa aliye na VVU/UKIMWI zilitumia pesa mara mbili zaidi ya familia nyingine. |
Long-term antibiotics, specifically those from the macrolide class such as erythromycin, reduce the frequency of exacerbations in those who have two or more a year. | Antibiotiki za muda mrefu, hasa za kundi la macrolide kama vileazithromycin, hupunguza kiwango cha kutokea kwa maumivu Zaidi kwa wale wanaokuwa nayo mara mbili au Zaidi kwa mwaka. |
HIV seeks out and destroys CCR5 expressing CD4+ T cells during acute infection. | VVU hutafuta na kuharibu CCR5 inayotolesha seli za CD4+ T katika awamu kali ya maambukizi. |
Symbolic AIDS stigma—the use of HIV/AIDS to express attitudes toward the social groups or lifestyles perceived to be associated with the disease. | Unyanyapaa wa kiishara wa UKIMWI -kutumia VVU/UKIMWI kuonyesha mitazamo fulani dhidi ya vikundi vya jamii au mitindo ya maisha inayohusishwa na ugonjwa huu. |
The evidence for treatment in genotype 6 disease is sparse and what evidence there is supports 48 weeks of treatment at the same doses used for genotype 1 disease. | Ushahidi wa matibabu katika ugonjwa genotype 6 kwa sasa ni chache, na ushahidi uliopo ni wa muda wa wiki 48 ya tiba katika vipimo sawa na ugonjwa wa genotype 1. |
This situation is referred to as cor pulmonale, and leads to symptoms of leg swelling and bulging neck veins. | Hali hii huitwa ugonjwa wa moyo na mapafu, na husababisha dalili za kufura miguu na kufura kwa mishipa ya shingo. |
Rough sex can be a factor associated with an increased risk of transmission. | Ngono shari inaweza kuwa suala linalochangia ongezeko la hatari ya kuambukizwa. |
These conditions include ischemic heart disease, high blood pressure, diabetes mellitus, muscle wasting, osteoporosis, lung cancer, anxiety disorder, sexual dysfunction, and depression. | Magonjwa haya ni pamoja na: ugonjwa wa moyo wenye iskemia, shinikizo la juu la damu, kisukari melitasi, kuharibika kwa misuli, osteoporosisi, saratani ya mapafu, hali ya wasiwasi na mfadhaiko. |
One approach involves adding a subunit vaccine to BCG, while the other strategy is attempting to create new and better live vaccines. | Moja inahusisha mbinu kuongeza chanjo subunit kwa BCG, wakati mkakati mwingine ni kujaribu kujenga mpya na bora chanjo hai. |
Surveys show that a significant number of people believed—and continue to believe—in such claims. | Takwimu zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya watu wanaamini na wanaendelea kuamini madai hayo. |
Many people are diagnosed only after treatment ideally should have begun. | Watu wengi hutambuliwa punde tu baada ya wakati ambao matibabu yalipaswa kuanzishwa. |
A person with active but untreated tuberculosis may infect 10–15 (or more) other people per year. | Mtu aliye na kifua kikuu hai, lakini hajatibiwa anaweza kuambukiza 10-15 (au zaidi) watu wengine kwa mwaka. |
Acute exacerbations are typically treated by increasing the use of short-acting bronchodilators. | Kwa kawaida maumivu Zaidi makali hutibiwa kwa kuongeza utumizi wa vitanua bronkasi vya muda mfupi. |
Unknown: if insufficient information is available to make any of the above classifications. | Tashwishi: iwapo habari iliyopo haitoshi kufanya uainishaji uliopo juu |
— with the virus. | Emoji za virusi vipya vya Corona |
Limitations in the implementation and enforcement of stringent standard precautions in public and private medical and dental facilities are known to be the primary cause of the spread of HCV in Egypt, the country with highest rate of infection in the world. | Hali mbaya ya hospitali au za kliniki za madaktari wa meno ndio sababu kubwa za maambukizi ya HCV nchini Misri, ni nchi yenye kiasi kikubwa cha maambukizi duniani. |
Hepatitis C testing typically begins with blood testing to detect the presence of antibodies to the HCV, using an enzyme immunoassay. | Upimaji wa Homa ya nyongo C kwa kawaida huanza na vipimo vya damu ili kugundua uwepo wa kingamwili kwa HCV kwa kutumia kimeng'enya immunoassay. |
A vaccine made for one year may not be useful in the following year, since the virus evolves rapidly. | Chanjo iliyotengenezwa kwa mwaka mmoja huenda isitumike katika mwaka ufuatao, kwa kuwa virusi hubadilika haraka. |
"The word ""emphysema"" is derived from the Greek ἐμφυσᾶν emphysan meaning ""inflate"" -itself composed of ἐν en, meaning ""in"", and φυσᾶν physan, meaning ""breath, blast""." | "Neno ""emfisema"" linatoka katika Kigiriki ἐμφυσᾶν emphysan kumaanisha ""kujaa hewa"" -yenyewe ikiwa na ἐν en, ikimaanisha ""ndani"", na φυσᾶν physan, ikimaanisha ""pumzi, blast""." |
"Early descriptions of probable emphysema include: in 1679 by T. Bonet of a condition of ""voluminous lungs"" and in 1769 by Giovanni Morgagni of lungs which were ""turgid particularly from air""." | "Maelezo ya kitambo ya uwezekano wa emfisema ni: Katika mwaka wa 1679 na T. Bonet kuhusu ugonjwa wa ""mapafu makubwa"" na katika mwaka wa 1769 na Giovanni Morgagni kuhusu mapafu yaliyokuwa yamevimba hasa kutokana na hewa""." |
In the mid-1970s, Harvey J. Alter, Chief of the Infectious Disease Section in the Department of Transfusion Medicine at the National Institutes of Health, and his research team demonstrated how most post-transfusion hepatitis cases were not due to hepatitis A or B viruses. | Katika miaka ya 1970 katikati, Harvey J. Alter, Mkuu wa Sehemu ya Magonjwa ya Maambukizi katika Idara ya Madawa ya Kujidunga kwa mishii katika Taasisi ya Kitaifa ya Afya, na timu yake ya utafiti walionyesha kuwa kesi nyingi za utoaji wa baada-damu ya homanyongohazikutokana na viruzi vya homanyongoA au B. Licha ya ugunduzi huu, jitihada za utafiti wa kimataifa za kutambua virusi zilishindiana kwa miaka kumi ifuatayo. |
In nature, the bacterium can grow only within the cells of a host organism, but M. tuberculosis can be cultured in the laboratory. | Kwa kawaida, bakteria zinaweza kukua na kuishi tu ndani ya seli ya kiumbe viumbe, lakini M. tuberculosis' inaweza kukuzwa ya maabara. |
Proponents of this dating link the HIV epidemic with the emergence of colonialism and growth of large colonial African cities, leading to social changes, including a higher degree of sexual promiscuity, the spread of prostitution, and the accompanying high frequency of genital ulcer diseases (such as syphilis) in nascent colonial cities. | Wanaotaja kipindi hicho maalumu huhusisha mzuko wa janga la VVU na kuibuka kwa ukoloni na ukuaji wa miji mikubwa ya kikoloni ya Afrika, huku ukisababisha mabadiliko ya jamii pamoja na kiwango kikubwa cha uasherati, uenezi wa ukahaba na matukio mengi ya vidonda vya viungo vya uzazi (kama vile kaswende) katika miji iliyochipuka. |
Methylxanthines such as theophylline generally cause more harm than benefit and thus are usually not recommended, but may be used as a second-line agent in those not controlled by other measures. | Methylxanthines kama vile theophylline husababisha madhara zaidi ya manufaa na kwa hivyo kwa kawaida hazipendekezwi, lakini zinaweza kutumika kama ajenti za kundi la pili kwa magonjwa yasiyothibitiwa na hatua zingine. |
He was diagnosed as HIV-positive on August 31, 1988, having contracted the virus from blood transfusions during heart surgery earlier in the 1980s. | Ashe alitambuliwa kuwa na VVU tarehe 31 Agosti 1988; baada ya kuambukizwa alipokuwa akiongezewa damu akifanyiwa upasuaji wa moyo awali miaka ya 1980. |
Certain medications, such as corticosteroids and infliximab (an anti-αTNF monoclonal antibody), are other important risk factors, especially in the developed world. | Baadhi ya dawa, kama vile corticosteroids na infliximab (an anti-αTNF monoclonal antibody) kuwa inazidi muhimu hatari, hasa katika nchi zilizoendelea. |
"In those without acidosis from respiratory failure, home care (""hospital at home"") may be able to help avoid some admissions." | "Kwa wasio na asidosisi inayotokana na matatizo ya kupumua, utunzaji wa nyumbani (""hospitali ya nyumbani"") unaweza kusaidia kuepuka kulazwa." |
However, most infections with M. tuberculosis do not cause TB disease, and 90–95% of infections remain asymptomatic. | Hata hivyo, wengi maambukizi na M. kifua kikuu wala kusababisha ugonjwa wa Kifua Kikuu, na 90-95% ya maambukizi ya kubaki bila dalili. |
Significant weight loss is a bad sign. | Kupoteza uzani sana ni ishara mbaya. |
Risk of cancer appears to increase once the CD4 count is below 500/μL. | Hatari ya saratani huonekana kuongezeka ikiwa kiwango cha CD4 kitashuka chini ya 500/uL. |
By contrast, use of the spermicide nonoxynol-9 may increase the risk of transmission due to its tendency to cause vaginal and rectal irritation. | Kinyume na hili, matumizi ya spemisidi nonoxynol-9 yanaweza kuongeza hatari ya kuambukizwa kwa sababu ya uwezo wake wa kuleta mwasho wa uke na rektamu. |
To the naked eye, this has the texture of soft, white cheese and is termed caseous necrosis. | Kwa jicho uchi, hii ina umbo la jibini laini, nyeupe na inaitwa caseous necrosis. |
Chiron filed for several patents on the virus and its diagnosis. | Chiron aliwasilisha hataza kadhaa kuhusu virusi na uchunguzi wake. |
Those with obstructed airflow may have wheezing or decreased sounds with air entry on examination of the chest with a stethoscope. | Watu walio na njia za pumzi zilizofungana wanaweza kuwa na kukorota au sauti ndogo pumzi inapoingia mapafuni, wanapochunguzwa kwa stethoskopu. |
Two main components are measured to make the diagnosis, the forced expiratory volume in one second (FEV1), which is the greatest volume of air that can be breathed out in the first second of a breath, and the forced vital capacity (FVC), which is the greatest volume of air that can be breathed out in a single large breath. | Vipengele viwili muhimu hupimwa ili kufanya utambuzi huo: kiasi cha hewa inayopumuliwa nje kwa lazima kwa sekunde moja (FEV1), ambacho ndicho kiasi kikubwa zaidi cha hewa inayoweza kupumuliwa nje katika sekunde ya kwanza ya pumzi, na kiasi muhimu cha kulazimishwa, ambacho ndicho kiasi kikubwa zaidi cha hewa inayoweza kupumuliwa nje katika pumzi moja kubwa. |
A comparison of the genes of M. tuberculosis complex (MTBC) in humans to MTBC in animals suggests humans did not acquire MTBC from animals during animal domestication, as researchers previously believed. | kulinganisha genes ya M. kifua kikuu tata (MTBC) kwa binadamu kwa MTBC katika wanyama unaonyesha binadamu hakuwa kupata MTBC kutoka kwa wanyama wakati wa kufuga wanyama kama ilivyoaminika hapo nyuma. |
Cor pulmonale has become less common since the use of supplemental oxygen. | Ugonjwa wa moyo na mapafu umekuwa nadra tangu kuvumbuliwa kwa oksijeni ya mtungi. |
The duration of the symptoms varies, but is usually one or two weeks. | Muda ya dalili hutofautiana, ingawa kwa kawaida huwa wiki 1 - 2. |
Most people infected with HIV develop specific antibodies (i.e. seroconvert) within three to twelve weeks after the initial infection. | Watu wengi walioambukizwa VVU huzalisha zindiko maalum (yaani kuzalisha zindiko mpya) katika wiki 3 hadi 12 tangu maambukizi ya kwanza. |
AIDS was first recognized by the United States Centers for Disease Control and Prevention (CDC) in 1981 and its cause—HIV infection—was identified in the early part of the decade. | UKIMWI ulitambuliwa mara ya kwanza na Vituo vya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa huko Marekani mwaka 1981, ilhali kisababishi chake - VVU - kilitambuliwa mwanzoni mwa muongo huo nchini huko. |
It is estimated that nearly half of prison inmates share unsterilized tattooing equipment. | Karibu nusu ya wafungwa wanatumia kwa pamoja vifaa vya kujichora ambavyo sio visafi. |
The hepatitis C virus (HCV) is a small, enveloped, single-stranded, positive-sense RNA virus. | Virusi vya Homa ya nyongo C ni vidogo, vilivyo ndani ya kibahasha, na kiuzi kimoja, vina RNA yenye virusi. |
Smoking bans in public areas and places of work are important measures to decrease exposure to secondhand smoke, and while many places have instituted bans, more are recommended. | Marufuku dhidi ya uvutaji katika sehemu za umma na pahali pa kazi ni njia muhimu za kupunguza kutangamana na moshi kutoka kwa watu wengine na ilhali sehemu nyingi zina marufuku ya kisheria, marufuku Zaidi yanahimizwa. |
Care should be taken as they are flammable. | Tahadhari ni muhimu kwa sababu inaweza kuwaka. |
This can result in more air from the previous breath remaining within the lungs when the next breath is started, resulting in an increase in the total volume of air in the lungs at any given time, a process called hyperinflation or air trapping. | Hii inaweza kupelekea hewa zaidi kutoka kwa pumzi ya awali kusalia mapafuni wakati pumzi inayofuata imeanzishwa na kusababisha ongezeko katika kiwango kamili cha hewa mapafuni wakati wowote ule, mchakato uitwao uvutaji hewa ndani kupita kiasi au kutega hewa. |
It resulted in about 1 million deaths in 2016, down from a peak of 1.9 million in 2005. | Hali hii ilisababisha karibu vifo milioni 1.8 mwaka 2010 ikilinganishwa na milioni 3.1 katika mwaka 2001. |
Genetic studies of the virus suggest that the most recent common ancestor of the HIV-1 M group dates back to c. 1910. | Tafiti za kijeni za virusi hivi zinadokeza kuwa chanzo cha hivi karibuni zaidi cha VVU-1 ya kikundi M kilitokea mnamo 1910. |
AIDS stigma has been further divided into the following three categories: | Unyanyapaa dhidi ya watu wanaoishi na UKIMWI, umegawanywa zaidi katika vikundi vitatu kama ifuatavyo: |
In 2010, an estimated 68% (22.9 million) of all HIV cases and 66% of all deaths (1.2 million) occurred in this region. | Katika mwaka wa 2010, kadirio la 68% (milioni 22.9 ) la visa vyote vya VVU na 66% ya vifo (milioni 1.2 ) vilitokea katika eneo hili. |
Genotype 1 is also the most common in South America and Europe. | Genotype 1 ndio inayojulikana zaidi katika nchi za Amerika ya Kusini na Ulaya. |
In the advanced stages, or end stage pulmonary disease, it occurs during rest and may be always present. | Katika awamu za baadaye, ugumu wa kupumua hutokea wakati wa kupumzika na unaweza kuwepo kila wakati. |
Sputum may be swallowed or spat out, depending often on social and cultural factors. | Makohozi yanaweza kumezwa au kutemwa kulingana na jamii na tamaduni. |
Two main approaches are used to attempt to improve the efficacy of available vaccines. | Mbili mbinu kuu ni kuwa kutumika kujaribu kuboresha ufanisi wa chanjo zinapatikana. |
By the 1950s mortality in Europe had decreased about 90%. | Vifo vya kisha ilipungua karibu 90% kwa miaka ya 1950. |
"Koch announced a glycerine extract of the tubercle bacilli as a ""remedy"" for tuberculosis in 1890, calling it ""tuberculin""." | "Koch alitangaza dondoo glycerine ya bacilli kinundu kama ""dawa"" ya kifua kikuu katika 1890, na kuiita 'tuberculin'." |
It is the most widely used vaccine worldwide, with more than 90% of all children being vaccinated. | Hata hivyo, ni wengi sana kutumika chanjo duniani kote, na zaidi ya 90% ya watoto wote kuwa chanjo. |
In 1721 the first drawings of emphysema were made by Ruysh. | Katika mwaka wa 1721 michoro ya kwanza ya emfisema ilifanywa na Ruysh. |
As of 2011, there are about one hundred medications in development for hepatitis C. These include vaccines to treat hepatitis, immunomodulators, and cyclophilin inhibitors, among others. | Kufikia mwaka 2011, karibu madawa mia moja yanakuzwa kwa ajili ya homa ya nyongo C. Dawa hizi ni pamoja na chanjo za kutibu homa ya manjano, immunomodulators, na vizuia vya cyclophilin. |
In those with advanced disease, palliative care may reduce symptoms, with morphine improving the feelings of shortness of breath. | kwa walio na ugonjwa uliokithiri, utunzajia wa kutuliza unaweza kupunguza dalili, na morphine kukabiliana na hisia za upungufu wa pumzi. |
They are used as the main source of energy in 80% of homes in India, China and sub-Saharan Africa. | Mioto hii hutumika kama chanzo kikuu cha nishati katika asilimia 80 za jamii nchini India, China na mataifa ya kusini mwa Sahara. |
Since then, the WHO classification has been updated and expanded several times, with the most recent version being published in 2007. | Tangu hapo, ufasili wa Shirika hili umedurusiwa na kurefushwa mara kadhaa, toleo la hivi karibuni likiwa la mwaka wa 2007. |
Typically, these must occur over several decades before symptoms develop. | Kwa kawaida, uhatarisho huu lazima utokee miongo mingi kabla ya dalili kutokea. |
However, his spirometer could measure only volume, not airflow. | Hata hivyo kipima pumzi chake kingeweza kupima ujazo tu, si kupita kwa hewa. |
Whether they affect the progression of the disease is unknown. | Si bayana iwapo zinaathiri kuendelea kwa ugonjwa huo. |
The epidemic then rapidly spread among high-risk groups (initially, sexually promiscuous men who have sex with men). | Janga hili kisha lilienea kwa haraka katika vikundi vilivyo katika hatari kubwa ya kuambukizwa (mwanzoni ilikuwa ni wanaume waliofanya ngono na wanaume). |
The earliest well-documented case of HIV in a human dates back to 1959 in the Congo. | Visa vilivyonakiliwa vyema vya VVU katika mwanadamu ni vya mwaka 1959 katika eneo la nchi ya Kongo. |
A sustained response is seen in 70–80% of people with HCV genotypes 2 and 3 with 24 weeks of treatment. | Majibu endelevu hutokea katika asilimia 70-80 kwa watu walio na genotypes HCV 2 na 3 kwa muda wa wiki 24 ya matibabu. |
Further bronchodilators, such as salbutamol, were developed in the 1970s, and the use of LABAs began in the mid-1990s. | Vitanua bronkasi zaidi, kama vile salbutamol, vilitengenezwa katika miaka ya 1970, na matumizi ya LABAs yakaanza katikati mwa miaka ya 1990. |
He died as a result on February 6, 1993, aged 49. | Ashe alifariki kutokana na UKIMWI akiwa na umri wa miaka 49 tarehe 6 Februari 1993. |
It is usually well tolerated. | Kwa kawaida hustahimilika vyema. |
In the United States intravenous drug users made up 12% of all new cases of HIV in 2009, and in some areas more than 80% of people who inject drugs are HIV-positive. | Nchini Marekani, watu wanaodungwa dawa ndani ya misuli walichangia 12% ya visa vyote vipya vya VVU mwaka wa 2009, huku 80% ya watu katika sehemu fulani wanaodungwa dawa wakiwa wameambukizwa VVU. |
Early treatments included garlic, cinnamon and ipecac, among others. | Matibabu ya kitambo yalikuwa kitunguu saumu, mdalasini na ipecac, miongoni mwa mengine. |
If the person is in the late stages of infection, rates of transmission are approximately eightfold greater. | Iwapo mtu yuko katika awamu za mwisho za VVU, viwango vya kuambukizana ni takriban mara 8 zaidi. |
Therese Frare's photograph of gay activist David Kirby, as he lay dying from AIDS while surrounded by family, was taken in April 1990. | Picha ya Therese Frare ikionyesha mwanaharakati wa ushoga David Kirby akifariki kutokana na UKIMWI huku akizungukwa na familia yake, ilipigwa Aprili mwaka wa 1990. |
Even at a late stage of the disease, it can reduce the rate of worsening lung function and delay the onset of disability and death. | Hata katika kipindi cha mwisho cha ugonjwa, kunaweza kupunguza kiwango cha kudhoofika kwa utendakazi wa mapafu na kudhibiti mwanzo wa ulemavu na kifo. |
Long-term treatment with steroid tablets is associated with significant side effects. | Matibabu ya muda mrefu na tembe za steroidi huhusiana na madhara makubwa. |
Supplemental oxygen is recommended in those with low oxygen levels at rest (a partial pressure of oxygen less than 50–55 mmHg or oxygen saturations of less than 88%). | oksijeni zaidi hupendekezwa kwa walio na viwango vya chini vya oksijeni wakiwa wametulia (shinikizo dogo la oksijeni la chini ya mmHg 50-55 au ujazo wa chini wa oksijeni kwa asilimia 88). |
Primary HIV infection: May be either asymptomatic or associated with acute retroviral syndrome | Maambukizi ya kimsingi ya VVU: Yanaweza kuwa bila dalili au yakihusishwa na sindromu kali ya retrovirusi. |
Attempts over 5 years lead to success in nearly 40% of people. | Mara nyingi majaribio kadhaa huhitajika kabla ya kukoma kabisa kutimika.. Majaribu ya zaidi ya miaka 5 husababisha mafanikio katika takiban asilimia 40 ya watu. |
"René Laennec, the physician who invented the stethoscope, used the term ""emphysema"" in his book A Treatise on the Diseases of the Chest and of Mediate Auscultation (1837) to describe lungs that did not collapse when he opened the chest during an autopsy." | "René Laennec, fizishiani aliyevumbua stethoskopu, alitumia neno ""emfisema"" katika kitabu chake A Treatise on the Diseases of the Chest and of Mediate Auscultation (1837) kueleza mapafu yasiyosinyaa alipofungua kifua wakati wa otopsi." |
There are no measures that alter this risk. | Hakuna njia yoyote ya kupunguza hatari hii wakati wa kuzaa. |
Tuberculosis has been present in humans since ancient times. | Kifua kikuu kimekuwepo kwa binadamu tangu zamani sana. |
Some religious organizations have claimed that prayer can cure HIV/AIDS. | Mashirika mengine ya dini yamedai kuwa maombi yanatosha kutibu VVU/UKIMWI. |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.