en
stringlengths
4
1.39k
sw
stringlengths
4
1.37k
People giving or receiving tattoos, piercings, and scarification are theoretically at risk of infection but no confirmed cases have been documented.
Watu wanaochanja au kuchanjwa chale, chale za mwili na kutia kovu hudhaniwa kuwa katika hatari ya kuambukizwa, ingawa hakuna visa vilivyothibitishwa ambavyo vimenakiliwa.
When a cough persists for more than three months each year for at least two years, in combination with sputum production and without another explanation, it is by definition chronic bronchitis.
Inapokuwepo kwa zaidi ya miezi mitatu kwa mwaka kwa zaidi ya miaka miwili ikiandamana na utoaji wa kikohozi na bila kisababishi kingine, basi hali hii itatambulika kama bronkitisi sugu.
In sub-Saharan Africa between 2007 and 2009, between 30% and 70% of the population were aware of their HIV status.
Kufikia mwaka wa 2007-2009 katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara, kati ya asilimia 30-70 ya watu walikuwa wakifahamu hali yao ya VVU.
The proportion of disability from COPD globally has decreased from 1990 to 2010 due to improved indoor air quality primarily in Asia.
Sehemu ya ulemavu unaotokana na ugonjwa sugu wa kufungana kwa njia za hewa ulimwenguni imepungua tangu mwaka wa 1990 hadi 2010 kutokana na kuboreshwa kwa hali ya hewa ndani ya nyumba hasa Asia.
These potential new treatments have come about due to a better understanding of the hepatitis C virus.
Uwezekano wa matibabu haya mapya yamekuja kutokana na uelewa mzuri wa virusi vya homa ya nyongo C.
Nucleic acid amplification tests and adenosine deaminase testing may allow rapid diagnosis of TB.
Nucleic asidi amplification mithani na kupita Triphosphate deaminase huweza kuruhusu uchunguzi wa haraka wa TB.
Since the WHO's staging system does not require laboratory tests, it is suited to the resource-restricted conditions encountered in developing countries, where it can also be used to help guide clinical management.
Kwa vile mfumo wa uainishaji wa SAD hauhitaji vipimo vya mahabara, mfumo huu ni mwafaka kwa mataifa yanayostawi ambayo kwa kawaida yana upungufu wa vifaa, ambapo unaweza pia kutumika kuongoza udhibiti wa kimatibabu.
The World Health Organization has published a guide to producing large quantities of hand sanitizer from chemicals available in developing countries, where commercial hand sanitizer may not be available:
Shirika la Afya Duniani limetoa mwongozo wa kutengeneza kitakasa mikono kwa kutumia kemikali zinazopatikana karibu katika kila nchi.
If tuberculosis recurs, testing to determine which antibiotics it is sensitive to is important before determining treatment.
Kama kifua kikuu kurudia, kupima na kuamua ambayo antibiotiki ni nyeti ni muhimu kabla ya kuamua matibabu.
Tiffeneau and Pinelli in 1947 described the principles of measuring airflow.
Tiffeneau and Pinelli katika mwaka wa 1947 walieleza kanuni za kupima kupita kwa hewa.
During the chronic phase, the consequences of generalized immune activation coupled with the gradual loss of the ability of the immune system to generate new T cells appear to account for the slow decline in CD4+ T cell numbers.
Katika awamu ya muda mrefu, matokeo ya uwezeshaji wa kijumla wa kingamwili ukiandamana na udhaifu wa pole pole wa uwezo wa mfumo wa kingamwili kuzalisha seli mpya za T hukisiwa kuchangia kupungua kwa pole pole kwa idadi ya seli za CD4+ T.
If a worker develops COPD, further lung damage can be reduced by avoiding ongoing dust exposure, for example by changing the work role.
Mfanyi kazi akipata ugonjwa sugu wa kufungana kwa njia za hewa, uharibikaji zaidi wa mapafu unaweza kupunguzwa kwa kuepuka kutangamana na vumbi, kwa mfano kwa kubadilisha majukumu ya kikazi.
If effective treatment is not given, the death rate for active TB cases is up to 66%.
Kama matibabu ya ufanisi hawakujaliwa, kiwango cha kifo kwa kesi kazi TB ni hadi 66%.
A chronic cough is often the first symptom to develop.
Kwa kawaida, kikohozi sugu ndiyo dalili ya kwanza kutokea.
This contributes to the inability to breathe out fully.
Hii huchangia kushindwa kupumua nje kikamilifu.
Chronic bacterial infections may also add to this inflammatory state.
Maambukizi sugu ya bakteria pia yanaweza kuongeza inflamesheni hii.
A person's genetic makeup also affects the risk.
Maumbile ya kijenetiki pia huathiri uhatarisho wa mtu.
In 2018 about 37.9 million people were living with HIV and it resulted in 770,000 deaths.
Kufikia mwaka 2018 walau watu wapatao 37,900,000 walikuwa wakiishi na VVU na kila mwaka watu milioni 2 wengine wanambukizwa.
Programs encouraging sexual abstinence do not appear to affect subsequent HIV risk.
Miradi inayohimiza kujinyima ngono haijatambulika inaathiri vipi hatari ya kupata VVU.
He had been diagnosed during 1984.
Yeye alikuwa ametambuliwa kuwa na ugonjwa huo mwaka 1984.
For the time being, insecticide-treated mosquito nets and insecticide sprays are used to prevent the spread of malaria, as are antimalarial drugs – particularly to vulnerable people such as pregnant women and young children.
Kati ya shughuli muhimu za WHO ni progframu za kupambana na magonjwa yanayoathiri watu wengi kama vile Malaria, Ukimwi au SARS.
Programs such as the Revised National Tuberculosis Control Program are working to reduce TB levels among people receiving public health care.
Mipango kama vile Programu ya Taifa ya Kifua Kikuu karatasi ya kufikiria tena ni kusaidia kupunguza viwango vya TB miongoni mwa watu wanaopata huduma ya afya ya umma.
Chronic obstructive pulmonary disease may occur in a number of other animals and may be caused by exposure to tobacco smoke.
Ugonjwa sugu wa kufungana kwa njia za hewa unaweza kutokea kwa wanyama wengine kadhaa na unaweza kutokana na kutangamana na moshi wa sigara.
Primary resistance occurs when a person becomes infected with a resistant strain of TB.
Upinzani Kanuni hutokea wakati mtu huwa wameambukizwa mnachuja sugu wa TB.
In response to a polio epidemic (where many patients required constant ventilation and surveillance), Bjørn Aage Ibsen established the first intensive care unit in Copenhagen in 1953.
Kwa sababu ya janga la polio, Bjørn Ibsen alianzisha kitengo cha kwanza cha huduma kubwa huko Copenhagen mwaka wa 1953.
They are also associated with increased risk of heart disease and stroke.
Pia zinahusiana na ongezeko la hatari ya ugonjwa wa moyo na kiharusi
There is some evidence to suggest that female condoms may provide an equivalent level of protection.
Kuna ushahidi mdogo unaoonyesha kuwa kondomu za wanawake una kiwango sawa cha kinga.
These infections may affect nearly every organ system.
Maambukizi haya yanaweza kujumuisha kuvimba kwa tezi za mwili wote.
In Africa, it primarily affects adolescents and young adults.
matukio ya TB inatofautiana na umri Katika Afrika, kimsingi unaathiri vijana na watu wazima vijana.
The destruction of the connective tissue of the lungs leads to emphysema, which then contributes to the poor airflow, and finally, poor absorption and release of respiratory gases.
Kuharibiwa kwa tishu unganishi za mapafu ndio unaopelekea emfisema, ambayo kisha huchangia upitaji duni wa hewa, na hatimaye, ufyonzaji na uachiliaji duni wa gesi za kupumua.
"Circumcision in Sub-Saharan Africa ""reduces the acquisition of HIV by heterosexual men by between 38% and 66% over 24 months""."
"Tohara katika eneo la Kusini kwa Sahara ""hupunguza uambukizaji wa VVU katika wanaume wanaohusiana na wanawake kimapenzi kwa kati ya 38% na 66% kwa muda wa miezi 24""."
Liver biopsies are used to determine the degree of liver damage present; however, there are risks from the procedure.
Biopsi za ini zinaweza kuamua kiwango cha uharibifu wa ini, lakini kuna hatari kutokana na utaratibu huo.
Spirometry is then used to confirm the diagnosis.
Kisha Kupima pumzi hutumiwa kuthibitisha utambuzi huo.
Infliximab, an immune-suppressing antibody, has been tested in COPD; there was a possibility of harm with no evidence of benefit.
Infliximab imejaribiwa katika ugonjwa sugu wa kufungana kwa njia za hewa lakini hakukuwa na ushahidi wa mafanikio bali uwezekano wa madhara.
HIV is a member of the genus Lentivirus, part of the family Retroviridae.
VVU ni mshirika wa jenasi ya Lentivirus, sehemu ya familia ya Retroviridae.
The WHO system uses the following categories:
Mfumo wa SAD hutumia vikundi vifuatavyo:
Respiratory infections such as pneumonia do not appear to increase the risk of COPD, at least in adults.
Maambukizi ya njia za pumzi kama vile nimonia hayaonekani kuongeza hatari ya ugonjwa sugu wa mapafu yaliyofungana, angalau katika watu wazima.
In developed countries, tuberculosis is less common and is found mainly in urban areas.
Katika nchi zilizoendelea, kifua kikuu ni. chini ya kawaida na ni kupatikana hasa katika maeneo ya mijini.
A small group of individuals continue to dispute the connection between HIV and AIDS, the existence of HIV itself, or the validity of HIV testing and treatment methods.
Kikundi kidogo cha watu kingali kinakana uhusiano wa VVU na UKIMWI, uwepo wa VVU au ubora wa vipimo vya VVU na njia za matibabu.
A definitive diagnosis of TB is made by identifying M. tuberculosis in a clinical sample (e.g., sputum, pus, or a tissue biopsy).
"Utambuzi yakinifu wa TB ni yaliyotolewa na kutambua ""M. kifua KiKuu"" katika sampuli ya kliniki (kwa mfano makohozi, pus, au tishu biopsy)."
The amount of sputum produced can change over hours to days.
Kiasi cha makohozi yanayotolewa kinaweza kubadilika baada ya saa hadi siku kadhaa.
Bronchodilators came into use in the 1960s following a promising trial of isoprenaline.
Vitanua bronkasi vilianza kutumika katika miaka ya 1960 baada ya majaribio yenye matumaini ya isoprenaline.
It does not appear to affect mortality or the overall hospitalization rate.
Haionekani kuathiri kiwango cha vifo au kiwango cha jumla cha kulazwa hospitalini.
In primary TB disease (some 1–5% of cases), this occurs soon after the initial infection.
Katika ugonjwa wa TB ya msingi (baadhi 1-5% ya kesi), hii hutokea mara baada ya maambukizi ya awali.
Further tests within 24 hours of the initial diagnosis revealed that Ashe had AIDS, but he did not tell the public about his diagnosis until April 1992.
Vipimo zaidi katika saa 24 baada ya utambuzi wa kwanza vilionyesha kuwa Ashe alikuwa na UKIMWI, lakini hakuwambia watu kuhusu utambuzi huu hadi Aprili 1992.
Those who have experienced a needle stick injury from someone who was HCV positive have about a 1.8% chance of subsequently contracting the disease themselves.
Mtu mwenye jeraha la sindano kutoka kwa mtu aliyeathiriwa na HCV ana uwezo wa asilimia 1.8 ya kupata ugonjwa Hatari inaongezeka kama sindano inayotumika ina shimo kubwa na jeraha ni kubwa.
Thus, it is recommended that HIV be considered in people presenting with an unexplained fever who may have risk factors for the infection.
Kwa hivyo, inapendekezwa kuchunguza VVU katika watu wanaoonyesha homa isiyoelezeka ambao wanaweza kuwa na vipengele hatari vya kuambukizwa.
It resulted in an estimated economic cost of $2.1 trillion in 2010.
Ugonjwa huu ulisababisha hasara ya kiuchumi iliyokadiriwa kuwa dola trilioni 2.1 mwaka 2010.
Consistent condom use reduces the risk of HIV transmission by approximately 80% over the long term.
Matumizi ya kondomu ya kila mara hupunguza hatari ya kuambukizana UKIMWI kwa takriban 80% katika muda mrefu wa usoni.
A sustained response occurs about 65% in those with genotype 4 after 48 weeks of treatment.
Majibu endelevu ni kadiri ya asilimia 65 kwa watu wenye genotype 4 kwa muda wa wiki 48 ya matibabu.
Stage III: Advanced symptoms, which may include unexplained chronic diarrhea for longer than a month, severe bacterial infections including tuberculosis of the lung, and a CD4 count of less than 350/µl
Awamu ya III: Dalili kuu zinazoweza kujumuisha hali ya kuharishaya muda mrefu isiyo na kisababishi maalum kwa zaidi ya mwezi mmoja, maambukizi makali ya bakteria ikiwa ni pamoja na tiibii ya mapafu na pia kiwango cha seli za CD4 cha chini ya 350/uL.
A CD4 count of less than 500/µl
Kiwango cha seli za CD4 cha chini ya 500/uL..
The modified British Medical Research Council questionnaire or the COPD assessment test (CAT) are simple questionnaires that may be used to determine the severity of symptoms.
Hojaji iliyofanyiwa mabadiliko ya Shirika la Utafiti wa Afya la Ulaya au jaribio la ukadiriaji wa ugonjwa sugu wa kufungana kwa mapafu ni hojaji rahisi ambazo zinaweza kuamua ukali wa dalili.
"About 25% of people may not have any symptoms (i.e. they remain ""asymptomatic"")."
"Kadri ya 25% ya watu hawana dalili yoyote (yaani, wao hawaonyeshi ""dalili"") Wakati mwingine, wagonjwa."
In Canada the cost of a course of antiviral treatment is as high as 30,000 CAD in 2003, while the United States costs are between 9,200 and 17,600 in 1998 USD.
Nchini Canada gharama ya matibabu ya kupambana na virusi yalikuwa juu kama dola 30,000 za Canada mwaka 2003, wakati Marekani gharama ni kati ya dola 9200 na 17,600 za Marekani mwaka 1998.
When the Medical Research Council formed in Britain in 1913, it initially focused on tuberculosis research.
Wakati Medical Council Utafiti iliundwa katika Uingereza katika 1913, lengo yake ya awali ilikuwa kifua kikuu utafiti.
Life expectancy has fallen in the worst-affected countries due to HIV/AIDS; for example, in 2006 it was estimated that it had dropped from 65 to 35 years in Botswana.
Kiwango cha matarajio ya urefu wa maisha kimepungua katika nchi zilizoathirika zaidi kutokana na VVU; kwa mfano, mwaka wa 2006, ilikadiriwa kuwa kiwango hiki kilipungua kutoka miaka 65 hadi 35 nchini Botswana.
The photo was displayed in Life, was the winner of the World Press Photo, and acquired worldwide notoriety after being used in a United Colors of Benetton advertising campaign in 1992.
Picha hiyo iliyochapishwa na gazeti hilo ilishinda tuzo la World Press Photo, kisha kupata umaarufu ulimwenguni kote baada ya kutumiwa na United Colors of Benetton katika kampeni ya utangazaji ya mwaka 1992.
Adverse effects with these treatments were common, with half of people getting flu-like symptoms and a third experiencing emotional problems.
Madhara kwa matibabu ni ya kawaida, nusu ya watu wanaotibiwa hupata dalili kama homa ya mafua, na theluthi ya watu hupata matatizo ya mhemuko.
When used with inhaled steroids they increase the risk of pneumonia.
Zikitumiwa pamoja na steroidi za kupumuliwa ndani, huongeza hatari ya nimonia.
Owing to their nonspecific character, these symptoms are not often recognized as signs of HIV infection.
Kufuatia sifa zake za kutokuwa dalili maalum, hizi mara nyingi haziwezi kutambulika kama dalili za maambukizi ya VVU.
The duration of treatment is usually four weeks and is frequently associated with adverse effects—where zidovudine is used, about 70% of cases result in adverse effects such as nausea (24%), fatigue (22%), emotional distress (13%) and headaches (9%).
Kwa kawaida, muda wa matibabu huwa wiki nne na mara nyingi huhusishwa na athari kali (zidovudine ikiwa na takriban 70% ya visa, ikijumuisha 24% kichefuchefu, 22% uchovu, 13% mafadhaiko na 9% maumivu ya kichwa.
Other genetic factors are being investigated, of which many are likely.
Hatari zingine za jenetekia zingali zinachunguzwa,, ambapo kuna uwezekano wa kutambua nyingi.
This is expected to more than double by the year 2030.
Hii inatarajiwa kuwa zaidi ya mara mbili katika miaka 20 ijayo.
Results of spirometry are also a good predictor of the future progress of the disease but are not as good as the BODE index.
Matokeo ya upimaji wa pumzi pia ni kibashiri kizuri cha hali ya baadaye ya ugonjwa lakini si bora kama kielezo cha KUASHIRIA.
Spirometry measures the amount of airflow obstruction present and is generally carried out after the use of a bronchodilator, a medication to open up the airways.
Upimaji wa pumzi hupima kiwango cha kuzuiwa kwa upitaji wa hewa uliopo na kawaida hufanywa baada ya utumizi wa kitanua bronkasi, tiba ya kufungua njia za hewa.
The global numbers are expected to continue increasing as risk factors remain common and the population continues to get older.
Idadi za kimataifa zinatarajiwa kuendelea kuongezeka visababishi vya hatari vinapoendelea kutokea sana na watu wakiendelea kuzeeka.
There is a risk from mucosal exposures to blood, but this risk is low, and there is no risk if blood exposure occurs on intact skin.
Kuna hatari kutoka kwa mfichuo wa kamasi hadi kwa damu; ingawa kiwango cha hatari hii ni ndogo, na hakuna hatari yoyote kama damu ikigusa ngozi isiyokuwa na jeraha.
During 2008 in the United States approximately 1.2 million people were living with HIV, resulting in about 17,500 deaths.
Mwaka wa 2008 nchini Marekani, takriban watu milioni 1.2 walikuwa wakiishi na VVU, hivyo kupelekea takriban vifo 17,500.
During acute exacerbations, many require oxygen therapy; the use of high concentrations of oxygen without taking into account a person's oxygen saturations may lead to increased levels of carbon dioxide and worsened outcomes.
Wakati wa maumivu Zaidi makali, wengi huhitaji tiba ya oksijeni; utumizi wa viwango vikubwa vya oksijeni bila kuzingatia viwango vya mtu vya oksijeni unaweza kusababisha ongezeko la dioksidi ya kaboni na matokeo mabaya.
Application of a vaginal gel containing tenofovir (a reverse transcriptase inhibitor) immediately before sex seems to reduce infection rates by approximately 40% among African women.
Kutumia mafuta ya ukeni yanaliyo na tenofovir muda mfupi kabla ya ngono hukisiwa kupunguza viwango vya maambukizi kwa takriban 40% miongoni mwa wanawake wa Kiafrika.
"In 1815 one in four deaths in England was due to ""consumption""."
"Katika 1815, moja katika vifo nne nchini Uingereza ni kutokana na ""matumizi""."
This risk is particularly high if someone deficient in alpha 1-antitrypsin also smokes.
Hatari hii iko juu zaidi hasa iwapo mtu aliye na upungufu wa kinza tripsini ya alfa ya 1 pia ni mvutaji.
Here, in contrast to other regions, women comprise nearly 60% of cases.
Wanawake wa eneo hili huchangia karibu 60% ya visa vyote tofauti na maeneo mengine.
During primary infection, the level of HIV may reach several million virus particles per milliliter of blood.
Katika kipindi cha kwanza cha maambukizi, kiwango cha VVU kinaweza kufika milioni kadhaa za chembe za virusi kwa kila mililita ya damu.
The World Health Organization estimates the risk of transmission as a result of a medical injection in Africa at 1.2%.
Shirika la Afya Duniani linakadiria hatari ya kuambukizwa kupitia sindano hizo barani Afrika kuwa 1.2%.
The economic costs of hepatitis C are significant both to the individual and to society.
Gharama za kiuchumi za homa ya nyongo C ni muhimu kwa mtu binafsi na kwa jamii kijumla.
The closest relative of HIV-2 is SIV(smm), a virus of the sooty mangabey (Cercocebus atys atys), an Old World monkey living in coastal West Africa (from southern Senegal to western Ivory Coast).
Virusi vinavyohusiana kwa karibu na VVU-2 ni VSVU(smm) ambavyo ni virusi vya mangabi mwenye masizi (Cercocebus atys atys), tumbili wa kale anayeishi Afrika Magharibi (kutoka kusini mwa Senegali hadi magharibi mwa Côte d'Ivoire).
Countries with particularly high rates of infection include Egypt (22%), Pakistan (4.8%) and China (3.2%).
Nchi zilizi na viwango vya juu sana vya maambukizi ni Misri (asilimia 22), Pakistani (asilimia 4.8) na Uchina (asilimia 3.2).
CD4+ T cells in mucosal tissues remain particularly affected.
Seli za CD4+ T katika tishu za ute husalia zikiwa zimeathiriwa sana.
Half of infants born with HIV die before two years of age without treatment.
Wasipotibiwa, nusu ya watoto wachanga wanaozaliwa na VVU hufa kabla ya miaka miwili.
In those with HIV, the risk of developing active TB increases to nearly 10% a year.
Katika wale wanaoishi na H.I.V, hatari ya kupatwa na TB hai inaongezeka hadi 10% karibu mwaka.
Measures to prevent opportunistic infections are effective in many people with HIV/AIDS.
Mikakati ya kuzuia maambukizi nyemelezi hufaa watu wengi wenye VVU/UKIMWI.
It takes about 6–8 weeks following infection before the immunoassay will test positive.
Inachukua wiki sita hadi nane kwa kufuatia maambukizi kabla ya vipimo vya immunoassay kuonekana kuwa yako.
Weight loss and muscle weakness, as well as the presence of other diseases, should also be taken into account.
Kupunguza uzito na udhaifu wa misuli pamoja na kuwepo kwa magonjwa mengine kunapaswa kuzingatiwa.
PEP treatment is recommended after a sexual assault when the perpetrator is known to be HIV-positive, but is controversial when their HIV status is unknown.
Matibabu hupendekezwa baada ya ubakaji iwapo mshukiwa anatambulika kuwa na VVU lakini yanakumbwa na utata iwapo hali yake haijulikani.
Stopping smoking decreases the risk of death by 18%.
Kukoma uvutaji hupunguza hatari ya kifo kwa asilimia 18.
The chance of quitting is improved with social support, engagement in a smoking cessation program, and the use of medications such as nicotine replacement therapy, bupropion, or varenicline.
Uwezekano wa kukoma huendelezwa kwa usaidizi wa kijamii, kuhusika katika mpango wa kukomesha uvutaji na kutumia tiba kama vile tiba ya kubadili nikotini, bupropion au varenicline.
This includes decreasing rates of smoking and improving indoor and outdoor air quality.
Hii hujumuisha juhudi za kupunguza viwango vya uvutaji na kuboresha hali ya hewa ya ndani na nje ya majengo.
There is no cure or vaccine; however, antiretroviral treatment can slow the course of the disease and may lead to a near-normal life expectancy.
Hakuna tiba au chanjo; hata hivyo, matibabu ya kudhibiti virusi yanaweza kupunguza mwendo wa ugonjwa huu na huenda yakapelekea urefu wa maisha kuwa karibu na kawaida.
Intravenous drug use (IDU) is a major risk factor for hepatitis C in many parts of the world.
Matumizi ya madawa ya kulevya kwa kujidunga sindano ndiyo sababu kubwa ya kusambaza Homa ya nyongo C katika nchi nyingi duniani.
Chest tightness may occur, but is not common and may be caused by another problem.
Kubanwa kifua kunaweza kutokea ingawa hakutokei sana na kunaweza kusababishwa na tatizo lingine.
In the United States, it is believed that it is related to more than 30% of cases among those who have never smoked and probably represents a greater risk in countries without sufficient regulations.
Nchini Marekani, uhatarisho huu unaaminika kuhusiana na zaidi ya asilimia 30 ya visa katika watu wasiowahi kuvuta, na inawezekana huwakilisha hatari kubwa zaidi katika nchi zisizo na sheria za kutosha.
In those with a severe exacerbation, antibiotics improve outcomes.
Kwa wale walio na maumivu zaidi makali, antibiotiki huboresha matokeo.
"People with emphysema have been known as ""pink puffers"" or ""type A"" due to their frequent pink complexion, fast respiratory rate and pursed lips, and people with chronic bronchitis have been referred to as ""blue bloaters"" or ""type B"" due to the often bluish color of the skin and lips from low oxygen levels and their swollen ankles."
"Walio na emfisema wamejulikana kama ""wapumua waridi"" au ""aina A"" kutokana na rangi yao ya waridi ya uso, kiwango cha haraka cha kupumua na midomo iliyofungwa, na watu walio na bronkitisi sugu wameitwa ""blota za bluu"" au ""aina B"" kutokana na rangi ya bluu kwenye ngozi na midomo mara kwa mara kutokana na viwango vya chini vya oksijeni na kuvimba kwa tindi za miguu."
The vaccine is usually effective against three or four types of influenza.
Chanjo hii husaidia dhidi ya aina tatu au nne za influenza.
Tuberculosis is classified as one of the granulomatous inflammatory diseases.
Kifua Kikuu huainishwa kama moja ya magonjwa granuloma ya inflamesheni tatizi.
Social distancing, also called physical distancing, is a set of non-pharmaceutical interventions or measures taken to prevent the spread of a contagious disease by maintaining a physical distance between people and reducing the number of times people come into close contact with each other.
Umbali kimwili (kwa Kiingereza: social distancing au physical distancing) ni ushauri wa kulinda afya unaotumika ili kudumisha umbali kati ya watu wakati wa maambukizo.
Inhaled bronchodilators are the primary medications used, and result in a small overall benefit.
Vitanua bronkasi vilivyopumuliwa ndani ndivyo tiba za kimsingi zinazotumika na husababisha manufaa machache kwa jumla.
Sexual assault is also believed to carry an increased risk of HIV transmission as condoms are rarely worn, physical trauma to the vagina or rectum is likely, and there may be a greater risk of concurrent sexually transmitted infections.
Ubakaji pia unaaminika kuongezeka hatari ya kusambaza VVU kwa sababu ni nadra kondomu kutumika, huwa na uwezekano wa kujeruhiwa ukeni au kinyeo, na pia kuna uwezekano wa magonjwa ya zinaa yanayoambatana na VVU.